Kuna Diamond Platnumz mp3 image

Kuna

“Kuna”

wenzako waolewa we huolewi kwani we
ati una hila moja husemi na majirani we
sema na hila ya pili ukihongwa hufanani wewe
sema na hila ya tatu midabwada kitandani we
sema na hila ya nne mwenzetu mchafu ndani we

kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
kanijencee kibanda kwenu wataniva

kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
kanijencee kibanda kwenu wataniva

kanijencee kibanda udugu wangu eeh eeh eh
kanijencee kibanda shoga zako wataniva

kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
kanijencee kibanda kwenu wataniva

lalilo lilo eeeeh, pambe tu!
lololo lololo! lali lali lalii, laa lalii lali lali lalii

ooo oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini toss umezidi

jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
watu wote wachepuka lakini lizer umezidi
acha nicheze mie
na watu wangu jangwani nalia
ooooh! Acha niringe mie
na watu wangu jangwani nalia

aaaaah! Aaah ah! Acha nicheze mie
na watu wangu jangwani nalia
acha nijishave shave
na watu wangu jangwani nalia

ooooh lolilo lilo eeeh!

kuntu! Mambo hayo
alolololo lolo lolooo!
aah eeh mama mwanangu ooh!
mama mwanangu ooh!
aah mama mwanangu eeh!
mama mwanangu eeh!

waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijvi
waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijvi
waniacha napinda mgongo we, mbona sijijvi

Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *